17Mrudi mwanao, naye atakupa amani, atakufurahisha nafsi yako.
18Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia, bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.
19Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, ajapoelewa, hataitikia.
20Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye.
21Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani, atamletea sikitiko mwishoni.