Mithali 3

Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara, usiache vitoke machoni pako;

Proverbs 3:21 (UKJV) My son, let not them depart from yours eyes: keep sound wisdom and discretion:

19Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;

20kwa maarifa yake vilindi viligawanywa, nayo mawingu yanadondosha umande.

21Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara, usiache vitoke machoni pako;

22ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako na pambo la neema shingoni mwako.

23Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa;

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.