30Usimshtaki mtu bila sababu, wakati hajakutenda dhara lolote.
31Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri wala kuchagua njia yake iwayo yote,
32kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki.
33Laana ya Bwana i juu ya nyumba ya mwovu, lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki.
34Huwadhihaki wale wanaodhihaki, lakini huwapa neema wale wanyenyekevu.