32kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki.
33Laana ya Bwana i juu ya nyumba ya mwovu, lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki.
34Huwadhihaki wale wanaodhihaki, lakini huwapa neema wale wanyenyekevu.
35Wenye hekima hurithi heshima, bali huwaaibisha wapumbavu.