Mithali 31

Huangalia mambo ya nyumbani mwake wala hali chakula cha uvivu.

Proverbs 31:27 (UKJV) She looks well to the ways of her household, and eats not the bread of idleness.

25Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo.

26Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.

27Huangalia mambo ya nyumbani mwake wala hali chakula cha uvivu.

28Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, mumewe pia humsifu, akisema:

29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri, lakini wewe umewapita wote.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.