Mithali 31

Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, mumewe pia humsifu, akisema:

Proverbs 31:28 (UKJV) Her children arise up, and call her blessed; her husband also, and he praises her.

26Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.

27Huangalia mambo ya nyumbani mwake wala hali chakula cha uvivu.

28Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, mumewe pia humsifu, akisema:

29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri, lakini wewe umewapita wote.”

30Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu na uzuri unapita upesi, bali mwanamke anayemcha Bwana atasifiwa.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.