Mithali 4

Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako.

Proverbs 4:15 (UKJV) Avoid it, pass not by it, turn from it, and pass away.

13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; mshike, maana yeye ni uzima wako.

14Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu wala usitembee katika njia ya watu wabaya.

15Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako.

16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu.

17Wanakula mkate wa uovu, na kunywa mvinyo wa jeuri.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.