13ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake,
14ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina.
15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; ataangamizwa mara, pasipo msaada.
16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:
17macho ya kiburi, ulimi udanganyao, mikono imwagayo damu isiyo na hatia,