14ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina.
15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; ataangamizwa mara, pasipo msaada.
16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:
17macho ya kiburi, ulimi udanganyao, mikono imwagayo damu isiyo na hatia,
18moyo uwazao mipango miovu, miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu,