Mithali 6

Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako?

Proverbs 6:9 (UKJV) How long will you sleep, O sluggard? when will you arise out of your sleep?

7Kwa maana yeye hana msimamizi, wala mwangalizi, au mtawala,

8lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.

9Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako?

10Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika:

11hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.