6Ewe mvivu, mwendee mchwa; zitafakari njia zake ukapate hekima!
7Kwa maana yeye hana msimamizi, wala mwangalizi, au mtawala,
8lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.
9Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako?
10Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: