8Maneno yote ya kinywa changu ni haki; hakuna mojawapo lililopotoka wala ukaidi.
9Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa.
10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, maarifa badala ya dhahabu safi,
11kwa maana hekima ina thamani kuliko marijani na hakuna chochote unachohitaji kinacholingana naye.
12“Mimi hekima, nakaa pamoja na busara; ninamiliki maarifa na busara.