17Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
18Utajiri na heshima viko kwangu, utajiri udumuo na mafanikio.
19Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; kile nitoacho hupita fedha iliyo bora.
20Natembea katika njia ya unyofu katika mapito ya haki,
21nawapa utajiri wale wanipendao na kuzijaza hazina zao.