14Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji,
15akiita wale wapitao karibu, waendao moja kwa moja kwenye njia yao.
16Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!”
17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!”
18Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu.