15akiita wale wapitao karibu, waendao moja kwa moja kwenye njia yao.
16Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!”
17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!”
18Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu.