1Hekima amejenga nyumba yake; amechonga nguzo zake saba.
2Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; pia ameandaa meza yake.
3Amewatuma watumishi wake wa kike, naye huita kutoka mahali pa juu sana pa mji.
4Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa!