1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Vyote vilivyomo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.
2Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, wala usisahau wema wake wote,
3akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote,
4aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji ya upendo na huruma,