Zaburi 105

Akamtuma Mose mtumishi wake, pamoja na Aroni, aliyemchagua.

Psalm 105:26 (UKJV) He sent Moses his servant; and Aaron whom he had chosen.

24Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao,

25ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake.

26Akamtuma Mose mtumishi wake, pamoja na Aroni, aliyemchagua.

27Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao, miujiza yake katika nchi ya Hamu.

28Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake?

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.