Zaburi 105

akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa mali wengine walikuwa wameitaabikia:

Psalm 105:44 (UKJV) And gave them the lands of the heathen: and they inherited the labour of the people;

42Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.

43Aliwatoa watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za shangwe,

44akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa mali wengine walikuwa wameitaabikia:

45alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni Bwana.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.