139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu wanayapuuza maneno yako.
140Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu, mtumishi wako anazipenda.
141Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa, sisahau mausia yako.
142Haki yako ni ya milele, na sheria yako ni kweli.
143Shida na dhiki zimenipata, lakini amri zako ni furaha yangu.