150Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami, lakini wako mbali na sheria yako.
151Ee Bwana, hata hivyo wewe u karibu, na amri zako zote ni za kweli.
152Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako kwamba umezithibitisha ili zidumu milele.
153Yaangalie mateso yangu, uniokoe, kwa kuwa sijasahau sheria yako.
154Nitetee katika hali hii yangu na unikomboe, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na ahadi yako.