165Wanaopenda sheria yako wana amani tele, wala hakuna kitu kinachoweza kuwakwaza.
166Ee Bwana, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako,
167Ninazitii sheria zako, kwa sababu ninazipenda mno.
168Nimetii mausia yako na sheria zako, kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako.
169Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako, nipe ufahamu sawasawa na neno lako.