164Ninakusifu mara saba kwa siku, kwa ajili ya sheria zako za haki.
165Wanaopenda sheria yako wana amani tele, wala hakuna kitu kinachoweza kuwakwaza.
166Ee Bwana, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako,
167Ninazitii sheria zako, kwa sababu ninazipenda mno.
168Nimetii mausia yako na sheria zako, kwa kuwa njia zangu zote zinajulikana kwako.