162Nafurahia ahadi zako kama mtu aliyepata mateka mengi.
163Ninachukia na kuchukizwa sana na uongo, lakini napenda sheria yako.
164Ninakusifu mara saba kwa siku, kwa ajili ya sheria zako za haki.
165Wanaopenda sheria yako wana amani tele, wala hakuna kitu kinachoweza kuwakwaza.
166Ee Bwana, ninangojea wokovu wako, nami ninafuata amri zako,