22Niondolee dharau na dhihaka, kwa kuwa ninazishika sheria zako.
23Ingawa watawala huketi pamoja na kunisingizia, mtumishi wako atatafakari juu ya maagizo yako.
24Sheria zako ni furaha yangu, nazo ni washauri wangu.
25Nimelazwa chini mavumbini, yahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako.
26Nilikueleza njia zangu ukanijibu, nifundishe sheria zako.