3Wasiofanya lolote lililo baya, wanaoenenda katika njia zake.
4Umetoa maagizo yako ili tuyatii kwa ukamilifu.
5Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara katika kuyatii maagizo yako!
6Hivyo mimi sitaaibishwa ninapozingatia amri zako zote.
7Nitakusifu kwa moyo mnyofu ninapojifunza sheria zako za haki.