82Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako; ninasema, “Utanifajiri lini?”
83Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, bado sijasahau maagizo yako.
84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? Ni lini utawaadhibu washtaki wangu?
85Wenye majivuno wananichimbia mashimo, kinyume na sheria yako.
86Amri zako zote ni za kuaminika; unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu.