10Kwake yeye aliyemuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, Fadhili zake zadumu milele.
11Na kuwatoa Israeli katikati yao, Fadhili zake zadumu milele.
12Kwa mkono wenye nguvu ulionyooshwa, Fadhili zake zadumu milele.
13Kwake yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele.
14Na kuwapitisha Israeli katikati yake, Fadhili zake zadumu milele.