11Na kuwatoa Israeli katikati yao, Fadhili zake zadumu milele.
12Kwa mkono wenye nguvu ulionyooshwa, Fadhili zake zadumu milele.
13Kwake yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele.
14Na kuwapitisha Israeli katikati yake, Fadhili zake zadumu milele.
15Lakini alimfagia Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele.