1Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema. Fadhili zake zadumu milele.
2Mshukuruni Mungu wa miungu. Fadhili zake zadumu milele.
3Mshukuruni Bwana wa mabwana: Fadhili zake zadumu milele.
4Kwake yeye pekee atendaye maajabu makuu, Fadhili zake zadumu milele.