19Sihoni mfalme wa Waamori, Fadhili zake zadumu milele.
20Ogu mfalme wa Bashani, Fadhili zake zadumu milele.
21Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele.
22Urithi kwa Israeli mtumishi wake, Fadhili zake zadumu milele.
23Aliyetukumbuka katika unyonge wetu, Fadhili zake zadumu milele.