21Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele.
22Urithi kwa Israeli mtumishi wake, Fadhili zake zadumu milele.
23Aliyetukumbuka katika unyonge wetu, Fadhili zake zadumu milele.
24Alituweka huru toka adui zetu, Fadhili zake zadumu milele.
25Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele.