7Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele.
8Jua litawale mchana, Fadhili zake zadumu milele.
9Mwezi na nyota vitawale usiku, Fadhili zake zadumu milele.
10Kwake yeye aliyemuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, Fadhili zake zadumu milele.
11Na kuwatoa Israeli katikati yao, Fadhili zake zadumu milele.