5Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele.
6Ambaye aliitandaza dunia juu ya maji, Fadhili zake zadumu milele.
7Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele.
8Jua litawale mchana, Fadhili zake zadumu milele.
9Mwezi na nyota vitawale usiku, Fadhili zake zadumu milele.