Zaburi 142

Namlilia Bwana kwa sauti, nainua sauti yangu kwa Bwana anihurumie.

Psalm 142:1 (UKJV) I cried unto the LORD with my voice; with my voice unto the LORD did I make my supplication.

1Namlilia Bwana kwa sauti, nainua sauti yangu kwa Bwana anihurumie.

2Namimina malalamiko yangu mbele zake, mbele zake naeleza shida zangu.

3Wakati roho yangu inapozimia ndani yangu, wewe ndiwe unajua njia zangu. Katika njia ninayopita watu wameniwekea mtego.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.