Zaburi 145

Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa.

Psalm 145:19 (UKJV) He will fulfill the desire of them that fear him: he also will hear their cry, and will save them.

17Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.

18Bwana yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.

19Huwatimizia wamchao matakwa yao, husikia kilio chao na kuwaokoa.

20Bwana huwalinda wote wampendao, bali waovu wote atawaangamiza.

21Kinywa changu kitazinena sifa za Bwana. Kila kiumbe na kilisifu jina lake takatifu milele na milele.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.