Zaburi 18

Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, awatiishaye mataifa chini yangu,

Psalm 18:47 (UKJV) It is God that avenges me, and subdues the people under me.

45Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka.

46Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu!

47Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, awatiishaye mataifa chini yangu,

48aniokoaye na adui zangu. Uliniinua juu ya adui zangu; uliniokoa toka kwa watu wajeuri.

49Kwa hiyo nitakusifu katikati ya mataifa, Ee Bwana; nitaliimbia sifa jina lako.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.