Zaburi 33

Mwimbieni Bwana kwa furaha, enyi wenye haki; kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.

Psalm 33:1 (UKJV) Rejoice in the LORD, O all of you righteous: for praise is comely for the upright.

1Mwimbieni Bwana kwa furaha, enyi wenye haki; kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.

2Msifuni Bwana kwa kinubi, mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi.

3Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.