Zaburi 33

Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.

Psalm 33:21 (UKJV) For our heart shall rejoice in him, because we have trusted in his holy name.

19ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa.

20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu.

21Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.

22Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee Bwana, tunapoliweka tumaini letu kwako.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.