4Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote.
5Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe.
6Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote.
7Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.
8Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia.