23Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu, yeye huimarisha hatua zake,
24ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana Bwana humtegemeza kwa mkono wake.
25Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa au watoto wao wakiombaomba chakula.
26Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti. Watoto wao watabarikiwa.
27Acha ubaya na utende wema, nawe utaishi katika nchi milele.