Zaburi 6

Bwana amesikia kilio changu kwa huruma, Bwana amekubali sala yangu.

Psalm 6:9 (UKJV) The LORD has heard my supplication; the LORD will receive my prayer.

7Macho yangu yamedhoofika kwa kuhuzunika, yamedhoofika kwa sababu ya adui zangu wote.

8Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya, kwa maana Bwana amesikia kulia kwangu.

9Bwana amesikia kilio changu kwa huruma, Bwana amekubali sala yangu.

10Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, watarudi nyuma kwa aibu ya ghafula.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.