30Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, nami nitamtukuza kwa kumtolea shukrani.
31Hili litampendeza Bwana kuliko ngʼombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake.
32Maskini wataona na kufurahi: ninyi mnaomtafuta Mungu, mioyo yenu na iishi!
33Bwana huwasikia wahitaji wala hadharau watu wake waliotekwa.
34Mbingu na dunia zimsifu, bahari na vyote viendavyo ndani yake,