Zaburi 7

Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo.

Psalm 7:10 (UKJV) My defence is of God, which saves the upright in heart.

8Bwana na awahukumu kabila za watu. Nihukumu Ee Bwana, kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya uadilifu wangu, Ewe Uliye Juu Sana.

9Ee Mungu mwenye haki, uchunguzaye mawazo na mioyo, komesha ghasia za waovu na ufanye wenye haki waishi kwa amani.

10Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo.

11Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku.

12Kama hakutuhurumia, atanoa upanga wake, ataupinda na kuufunga uzi upinde wake.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.