Zaburi 7

Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku.

Psalm 7:11 (UKJV) God judges the righteous, and God is angry with the wicked every day.

9Ee Mungu mwenye haki, uchunguzaye mawazo na mioyo, komesha ghasia za waovu na ufanye wenye haki waishi kwa amani.

10Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo.

11Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku.

12Kama hakutuhurumia, atanoa upanga wake, ataupinda na kuufunga uzi upinde wake.

13Ameandaa silaha zake kali, ameweka tayari mishale yake ya moto.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.