1Ee Bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia,
2la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa.
3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya na kuna hatia mikononi mwangu,
4au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, au nimemnyangʼanya adui yangu pasipo sababu,