11Wanasema, “Mungu awezaje kujua? Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?”
12Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri.
13Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia.
14Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi.
15Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako.