26“Atakayeshinda na kutenda mapenzi yangu mpaka mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa:
27“ ‘Atawatawala kwa fimbo ya chuma, atawavunja vipande vipande kama chombo cha udongo’: kama vile mimi nilivyopokea mamlaka kutoka kwa Baba yangu.
28Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.
29Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.