13“Makoo yao ni makaburi wazi; kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.” “Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.”
14“Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.”
15“Miguu yao ina haraka kumwaga damu;
16maangamizi na taabu viko katika njia zao,
17wala njia ya amani hawaijui.”