4Kisha Daudi akawakusanya pamoja wazao wa Aroni na Walawi:
5Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120,
6Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake 220.
7Kutoka wazao wa Gershoni, Yoeli kiongozi na ndugu zake 130.
8Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200.